Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 7: Cassper Nyovest alivyojaza uwanja wa mpira South Africa

on

Kwa wiki kadhaa Super Star wa Hiphop South Africa Cassper Nyovest alikua akisema anataka kuujaza uwanja wa mpira kwenye Tamasha lake la December 2 2017, usiku wa kuamkia leo ndio ilikua shughuli yenyewe na amethibitisha mwenyewe kuuza ticket Elfu 68.

Kupitia mtandao wake wa Twitter Cassper amethibitisha ticket zote kununuliwa ambapo idadi yake ndio hiyo ya elfu sitini na nane na anakua Rapper wa kwanza Afrika Kusini kujaza watu uwanjani kwa kiwango hicho kwa mujibu wa Magazeti ya South Africa.

VIDEO: SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI, PROMOTA ANASEMA WATU 500 WALIKOSA NAFASI

VIDEO: MABIBI NA MABWANA… HII NDIO YA ALIKIBA FIESTA DSM 2017..

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement