Tangaza Hapa Ad

Walichokiongea CUF kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake akiwemo Prof Lipumba


Baada ya headline za Chama cha wananchi CUF  kuwavua uanachama baadhi ya wanachama wake akiwemo aliyewahi kuwa mwenyekiti wake Profesa Ibrahim Lipumba leo September 15 2016 kamati ya uongozi taifa imekutana na waandishi wa habari Dodoma na kuzungumzia hatma ya chama hicho ikiwa ni pamoja na kumtaka msajili wa vyama vya siasa asitumike kukiyumbisha chama hicho.

ULIMIS MSIMAMO WA PROFESA LIPUMBA KUHUSU KUFUKUZWA KWAKE CUF

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement