Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

AUDIO: Ufafanuzi wa Julius Mtatiro kuhusu mambo mbalimbali kwenye mgogoro wa CUF

on

Wakati mgogoro wa kiungozi ndani ya chama cha wananchi CUF ukizidi kuchukua headline, leo kupitia kipindi cha Power Breakfast cha clouds FM, mwenyekiti wa kamati ya uongozi CUF, Julius Mtatiro ametoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali kuhusu mgogoro wa kiuongozi unaoendelea ndani ya chama hicho, moja ya swali ambalo amaeulizwa Mtatiro ni kuhusu hatua watakazozichukua ili kumtoa ofisini Prof. Lipumba, Mtatiro amesema ….

‘Baada ya Lipumba kuingia kwenye ofisi kwa nguvu, wanachama walijipanga kwenda kurudisha ofisi yao lakini tahtmini ilipofanyika palionekana kuwa panaweza kutokea umwagikaji wa damu…..kwa hiyo wanachama wakauchukua huo uamuzi na sisi tukaupokea huo uamuzi, hatuitaji kutumia nguvu’

ULIKOSA HII KAULI YA PROF LIPUMBA KUHUSU NAFASI YAKE CUF? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments