Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 2: Hatimae Diamond Platnumz aonyesha sura ya mtoto wake wa pili

on

Mashabiki wengi wa Mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz walikua wanasubiria hii siku Diamond apost picha ya mtoto wake wa pili aitwae Nillan ambaye toka amezaliwa hakuna shabiki aliepata nafasi ya kuona sura yake.

Wengi walikua wanasubiria kumuona wajue kama kafanana na Baba au mama? sasa picha zenyewe ndio hizi na ukishamaliza kuzitazama usiache kuniandikia mfanano ukoje

VIDEO: Diamond asema nimewaona wanaosema Tiffah sio mtoto wangu, tazama full video hapa chini

VIDEO: Diamond Platnumz alivyomuita Zari kwenye stage ya White Party, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement