Tangaza Hapa Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Diamond anaongelea ishu ya Zari kumpost mpenzi wake wa zamani (Ivan)

on

AyoTV Entertainment kila siku inakukutanisha na habari za mastaa ambapo kwenye hii video kuna majibu ya Diamond kuhusu Zari kumpost Instagram mpenzi wake wa zamani ambaye ni Ivan, imekua ikionekana mara kadhaa Zari akimpost Ivan mfano pale anapokua na tukio la kuwajulisha watu.

Wengi wakawa wana-comment Diamond haioni hii? na kama anaiona anaichukuliaje mpenzi wake kumpost mpenzi wa zamani? majibu yake yapo hapa chini kwenye hii video….

EXCLUSIVE: Hamorapa aongea ukweli kuhusu undugu na Harmonize, Wolper wake je? tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement