Habari za Mastaa

Kisingeli cha Sholo Mwamba mbele ya Mheshimiwa Jokate Kisarawe

on

Wakati Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akifanya matembezi ya siku ya vijana pamoja na kuhutubia Wakazi wa Kisarawe leo August 12 2018 kulikuwa na uwepo wa wasanii kama Shilole, Sholo Mwamba na Nikki wa Pili ambao walipata nafasi ya kuzungumza na vijana wakisarawe ikiwa ni pamoja na kuwapa burudani.

Tazama Mkali wa singeli Sholo Mwamba akitamba mbele ya vijana na DC Jokate Bonyeza PLAY hapa chini.

KISARAWE: JOKATE MGENI RASMI, SHILOLE MTUMBUIZAJI 

Soma na hizi

Tupia Comments