Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Izzo Bizness amefunguka uhusiano wake na Abella umechangia kushuka Kimuziki?

on

Msanii Izzo Bizness amesema kuwa kuanza kufanya kazi na Abella haijachangia yeye kutokufanya vizuri kwenye game ya Bongofleva hata hivyo afanyi vizuri kama zamani kutokana na nyakati zinabadilika tu, lakini pia amezungumzia wimbo wake mpya alioufanya mwenyewe bila kumshirikisha Abella.

Izzo amesema kuwa amefanya single project siyo kwa kuwa amegombana naye bali ni kazi binafsi kwani zipo kazi za group na za binafsi ambapo Abella akirudi wataachia wimbo wa pamoja ila kwa sasa yupo likizo nje ya nchi.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Izzo Bizness akielezea..

GOODNEWS: Dili alizopata Ben Pol kutokana na style yake ya nywele kijani kibichi

Soma na hizi

Tupia Comments