Top Stories

Shangwe walilopigiwa Simba baada ya kuingia Bungeni leo

on

May 14, 2018 Mabingwa wapya wa ligu kuu Tanzania bara (VPL) kwa mwaka 2017/18 Simba SC walipata mwaliko rasmi kutoka kwa Spika wa Bunge Job Ndugai wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo walipokelewa kwa shangwe na Wabunge ambao ni mashabiki wa timu hiyo wakati wakitambulishwa ndani ya ukumbi huo.

BREAKING: Elizabeth Michael ‘LULU’ ameachiwa kutoka gerezani

Soma na hizi

Tupia Comments