Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Hii ndio single mpya ya Mtanzania iliyotua kwenye mtandao wa MTV Base

on

.

.

Hii ni taarifa nzuri kwa msanii mwingine Mkali wa Soul Tanzania, Damian Soul, ile single yake yake mpya aliyoipa jina la ‘Baraka’  imepata nafasi ya kuwa moja ya ngoma kali kuingia kwenye mtandao wa MTV Base.

Wimbo huo ameshirikishwa mkali mwingine kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, ambapo rapper huyu kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Jan 12, Joh amepost picha ikionesha single hiyo ikionekana katika mtandao huo wa MTV Base na kuandika; “Kutokea hapa tu…@damian_soul #Baraka#amonmyway #2015 #GODENGINEERING“–@joh_makini

.

.

Kutokea hapa tu…@damian_soul #Baraka #amonmyway #2015 #GODENGINEERING

A photo posted by Joh makini (@joh_makini) on

.

Pichani:Mkali wa Soul Tanzania, Damian Soul alipokwenda kutambulisha single yake mpya ‘Baraka’ kwenye Double XXL ya CloudsFM.

Isikilize ‘Baraka’ ya Damian Soul ft. Joh Makini hapa.

Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments

Advertisement