Tangaza Hapa Ad

BREAKING: Kituo cha uwekezaji TZ wafunguka kuhusu ishu ya Dangote


Siku moja baada ya bilionea namba moja barani Afrika Aliko Dangote kulalamika kuwa sera za Serikali zinatishia wawekezaji wengi.

Malalamiko hayo ya Dangote yanatokana na sheria mpya ya usimamizi wa rasilimali za Taifa iliyopitishwa inayopendekeza Serikali kuwa na walau 16% kwenye miradi iliyowekezwa kwenye sekta ya madini.

Sasa leo Kituo cha uwekezaji Tanzania wamekutana na waandishi ili kutoa ufafanuzi kuhusu ishu hiyo

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement