Tangaza Hapa Ad

Mix

Baada ya kuzushiwa kifo, Bilionea Dangote ameyaandika haya..

on

Leo September 26, 2016 nimezipata hizi taarifa juu ya mtandao mmoja kutoka Ujerumani wenye jina la DW-TV3 ambao umechapisha taarifa za kifo cha Bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote. DW-TV3 waliandika kuwa tajiri huyo amefariki dunia akiwa nchini Nigeria baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Hii ni post iliyowekwa kwenye mtandao huo.

image

Muda mfupi baada ya kuzuka kwa taarifa hizo, Aliko Dangote alikanusha taarifa hizo kupitia mtandao wa Twitter kwa kupost kuwa yuko Afrika kusini na yuko salama kabisa.

image

ULIMISS KUTAZAMA MAGOLI YA MECHI YA YANGA NA STAND UNITED? NIMEKUWEKEA HAPA.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement