Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Bomoabomoa nyingine iliyofanyika Dodoma leo (+Video)

on

February 13, 2018 Manispaa ya Dodoma imeanza utekelezaji wa bomoabomoa nyumba na vibanda vya biashara zilizojengwa bila vibali maalum kutoka manispaa kufuatia agizo lililotolewa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilth Mahenge ambapo kazi imeanza katika baadhi ya maeneo yanayozunguka hospitali ya mkoa, mtaa wa Kisasa pamoja na chako ni chako.

Ilivyokuwa Mahakamani katika kesi Lema na watuhumiwa 61 wa ugaidi

Soma na hizi

Tupia Comments