Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Taarifa iliyotolewa na Polisi Dar leo August 27 2016

on

August 27 2016 Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amekutana na waandishi wa habari na kuongelea kwa ufupi taarifa za tukio la mashambulizi lililotokea Vikindu mkoa wa Pwani ambapo amesema taarifa kamili zitatolewa siku ya jumanne ikiwa ni pamoja na zile zinazodaiwa kuwa miongoni mwa wahalifu hao ni askari wastaafu.

ALICHOKIONGEA WAZIRI NCHEMBA BAADA YA KUFIKA ENEO WALIPOUAWA ASKARI DAR

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement