Airtel TZ
Ads Separator
Tecno TZ - C8
Ads Separator
GAPCO Win
Ads Separator
Tangaza Hapa
Ads Separator

General News

Hali ilivyo DAR baada ya zile mvua zilizonyesha mfululizo..

on

IMG_9674

Kwa siku tatu mfululizo hali haikuwa shwari ndani ya DAR kutokana na mvua kubwa ambazo zimenyesha mfululizo, kuna ripoti zilizotolewa kuhusu maafa yaliyosababishwa na mvua hivyo ikiwemo mafuriko ambayo yameharibu nyumba za watu pamoja na watu wengine kufariki.

Leo nimepita baadhi ya maeneo na kuona hali ambavyo iko kwa sasa baada ya mvua hizo kutulia.

IMG_9652

Hili gari lilifunikwa na tope lililobebwa na maji, baada ya maji kusha hali ilikuwa hivi.

IMG_9663

Ni kawaida kukutana na foleni kubwa ya magari, baada ya mvua kuisha hali ilikuwa vilevile ilivyozoeleka.

IMG_9674

Hapa ni bonde la mto karibu na Kinondoni Mkwajuni.

IMG_9676

IMG_9682

IMG_9686

Jangwani.

IMG_9692

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Dr Mwaka - Foreplan Clinic

You must be logged in to post a comment Login