Tangaza Hapa Ad

Mix

Picha14: Ulipofikia ujenzi wa Daraja la Furahisha Mwanza

on

Kila siku Jiji la Mwanza linakuwa kwenye muonekano mpya ukianzia majengo, barabara mpaka kwenye madaraja ukiachana na daraja la Mabatini Mwanza kuna Daraja jipya linajengwa eneo la Furahisha Mwanza

Ni daraja mbalo kwa chini litaruhusu kupita magari pamoja na watembea kwa miguu kwa upande wa juu, ujenzi bado unaendelea na umefikia hatua nzuri, kazi yangu ni kukusogeza karibu na matukio leo acha nikusogeze karibu na Picha za ujenzi ulipofikia.

img_5697

img_5699

img_5713

img_5689

img_5725

img_5718

img_5720

img_5723

img_5683

img_5682

img_5688

img_5673

img_5678

VIDEO: Kama bado hujatazama Uchambuzi wa Magazeti leo Dec 14 ungana na Alice Tupa ameshazisoma kwa undani kwenye hii video

Tupia Comments

Advertisement