Airtel TZ - Yatosha Zaidi
Ads Separator
Fastjet
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Home » General News » Kilichotokea hadi kuvunjika kwa daraja la Tabata Segerea na kuua watu watano.

January Makamba - Tanzania Mpya

Kilichotokea hadi kuvunjika kwa daraja la Tabata Segerea na kuua watu watano.

picha

Kwa mujibu wa Ripota wa nguvu Lusajo kutoka Tabata, Daraja linalounganisha Majumbasita na Tabata Segerea limevunjika baada ya Lori kubwa kupita juu yake likiwa limebeba kontena kubwa wakati uwezo wa Daraja lenyewe ni Tani saba.

Inadaiwa kuwa watu watano wamepoteza maisha wawili wakiwa kutoka ndani ya Lori hilo na wengine kutoka gari iliyokuwa mbele ya Lori ambayo ilitumbukia wakati daraja likivunjika.

Daraja hilo lilifanyiwa matengenezo baada kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni na halikuwa limetengemaa kurejea katika hali yake ya kawaida.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tags :
Previous post link
Next post link
NMB Bank - Lipa TRA Pitia NMB
Ads Separator
The Hurricane Sounds
Scroll To Top