Serengeti Baloziz
NMB Account
Heineken UEFA
Home » Ent. » Umeisikia hii ya Queen Darleen kupita juu ya beat ya ‘nakomaa na jiji’ ya Shilole?


Umeisikia hii ya Queen Darleen kupita juu ya beat ya ‘nakomaa na jiji’ ya Shilole?

Screen Shot 2014-02-17 at 8.26.33 AMHuu ni wimbo mpya toka kwa Queen Darleen ambae ni dada wa Diamond Platnumz, hapa kamshirikisha Shilole ambapo unaweza kudhani ni rmx ya ‘nakomaa na jiji’ lakini jibu ni hapana……. wimbo huu unaitwa ‘wanatetemeka’ audio imefanywa palepale kwa Mazuu.

Use Facebook to Comment on this Post

Tags :
Previous post link
Next post link

Scroll To Top