Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 7: Jinsi Star Davido anavyomuhudumia mtoto wake

on

Moja kati ya vitu ambavyo hufanywa siri sana na mastaa wengi duniani ni kuonesha jinsi wanavyoishi na familia zao kuanzia maisha ya mahusiano ya kimapenzi au malezi ya watoto. Lakini kwa baadhi yao huwa tofauti sana linapokuja suala la malezi ya watoto na hili limedhihirishwa mara kadhaa na mastaa wakubwa kama Chris Brown, Mwana FA, Diamond Platnumz na wengine wengi ambao wamefanikiwa kupata watoto.

Leo nimezipata picha 7 alizozipost Snapchat star wa hit single ya How Long aliyompa collabo female singer Tinashe kutoka Marekani. Davido ameonekana akiwa na mtoto wake wa kike.

davido-daughter davido-daughter1 davido-daughter2 davido-daughter3 davido-daughter4 davido-daughter5 davido-daughter6

ULIPITWA NA ALICHOKISEMA RAIS MAGUFULI KUHUSU MAZUNGUMZO YAKE NA MFALME WA MOROCCO MOHAMMED VI? NIMEKUWEKEA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement