Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Polisi Dodoma walipopigiwa simu kuhusu taarifa za kumkamata Tundu Lissu leo jioni

on

Jioni ya leo February 6 2017 kulikuwa na taarifa kwamba Polisi Dodoma wamemkamata Mbunge  Singida Mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu na kumsafirisha kwenda Dar es salaam, sasa millardayo.com na AyoTV zimempata kwenye simu Kamanda wa Polisi Lazaro Mambosasa.

Huyu Tundu Lissu anakabiliwa na mashtaka kule Dar es salaam kwahiyo Dodoma yamekuja tu maelekezo ya simu kwa ajili ya kukamatwa, mipango inafanyika na atapelekwa Dar es salaam kulingana na kosa alilolifanya

Alipoulizwa kuhusu kosa la Tundu Lissu, Kamanda Mambosasa amesemaWaulize Dar es salaam sisi hatujui, tulichokifanya sisi ni kumkamata kuwawezesha wenzetu badala ya wao kuja wenyewe….. watakuja kumchukua’

VIDEO: Rais Magufuli ampa ulinzi wa Polisi Mwanamke Mjane aliejitokeza akihutubia, bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement