Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Aunt Ezekiel akicheza Vigoma kwenye Harusi ya Shamsa Ford

on

Ni September 2, 2016 ambapo mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford aliziandika headlines baada ya kufunguka ndoa na mchumba wake mpya aitwae Rashid, sasa miongoni mwa burudani zilizotolewa ni pamoja na hii kutoka kwa Aunt Ezekiel aliungana na marafiki zake kucheza Vigoma.

Itazame hii video hapa uone jinsi ilivyokuwa

KAMA ULIKOSA JINSI ILIVYOKUWA KWENYE HARUSI YA SHAMSA FORD BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

Advertisement