Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Dogo Janja alipoulizwa kwanini hakumsindikiza Uwoya Rwanda (+video)

on

Ni pale ambapo Dogo Janja ambae ni Mume wa Mwigizaji Irene Uwoya aliulizwa kwanini hakumsindikiza Mke wake Rwanda kwenye msiba wa Ndikumana ambae ni mume wa zamani na walipata mtoto mmoja pamoja.

Dogo Janja hakuwa tayari kulijibu hilo swali na aliishia tu kusema “nadhani maswali ya msingi yameisha’ ukitazama kwenye hii video hapa chini utaona alivyojibu na alipoulizwa kuhusu kutoka ‘out’ na Uwoya

VIDEO: MUME WA IRENE UWOYA KAZINI… KAZI YA DOGO JANJA FIESTA DSM

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement