Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Waafrika na Asia hatarini kupata upofu kwa Pressure ya Macho

on

Leo February 9, 2018 nakusogezea Mtaalamu wa Macho, kutoka Hospital ya Eye International, Dr. Shadrack amasema kuwa Waafrika na Asia wapo katika hatari kubwa ya kuathiriwa na ugonjwa wa Pressure ya Macho ambapo ni miongoni mwa magonjwa hatari yanayosababisha Upofu na hayana tiba na hii ni kutokana na maumbile ya macho yao.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza na kumtazama Dr. Shadrack akitoa ufafanuzi.

ALICHOZUNGUMZA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KESI YAKE NA HAMISA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments