Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Hawa ni Rappers 10 Bora Tanzania waliotajwa na MTVBase South

on

Sio rahisi kutaja list ya Vituo 10 bora vya Televisheni kwenye upande wa Entertainment duniani ukaiacha MTV ambayo ina matawi sehemu nyingi duniani ikiwepo Afrika Kusini ambako kuna tawi liitwalo MTVBaseSA.

Leo November 22, 2016 kupitia account yake ya Twitter, wameitaja list ya ma-Mc 10 bora wa HipHop Tanzania kwa mwaka 2016, na list hii kwa mujibu wa MTVBaseSA imepangwa kwa kutumia vigezo sita muhimu ambavyo ni..

  1. Mapokeo na Matokeo ya nyimbo zao
  2. Mtindo wa kuflow
  3. Uandishi wa Mistari
  4. Mauzo kwenye Muziki na Shows
  5. Kujiamini
  6. Kutobabaika wakati wa kuchana

Kwa mujibu wa List hiyo, Rapa Fareed Kubanda a.k.a FID Q amekamata namba 1 akifuatiwa na Joh Makini, A.Y, MwanaFA, Roma na wengineo. List kamili ya TZHottestMC2016 nimekuwekea hapa.

VIDEO: Kwenye Steji moja ya Fiesta2016 Singida, FID Q, DJ D-Ommy na Young Killer, Tazama video hii

VIDEO: Ulimuona Godwin Gondwe alivyompandisha FID Q kwenye Steji ya Dawati Concert. Tazama hapa.

VIDEO:

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement