Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VideoFUPI: Diamond Platnumz alivyokutana na Kevin Hart Marekani

on

Mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz yuko Marekani kwaajili ya kufanya show Los Angeles September 2 lakini pia kufanya video ya kolabo yake na Neyo ambapo kwenye pitapita zake kakutana na Kevin Hart.

Kevin Hart ameonekana kumpokea vizuri Diamond na hata kwenye video Diamond aliyorekodi mchekeshaji huyu alisalimia Tanzania na kumalizia na utani wa utambulisho wa jina lake.

Hii sio mara ya kwanza kwa Diamond kukutana na mastaa wa dunia kwenye safari zake za Marekani, amekutana nao kadhaa akiwemo Nelly na Kanye West, tazama hii video fupi hapa chini.

ULIKOSA KUONA SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI LAS VEGAS MAREKANI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

ULIIKOSA HII YA DIAMOND MINNEAPOLIS? HAWEZI KUISAHAU…. BONYEZA PLAY KUTAZAMA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement