Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Vitu alivyosisitiza IGP Sirro akimuapisha Kamishna wa Zanzibar ‘Polisi tunachangamoto’

on

 IGP Simon Sirro leo February 12, 2018 amemuapisha Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohammed Hassan Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam zoezi ambalo amelifanya kwa niaba ya Rais Dr. John Pombe Magufuli ambapo amesema kazi ya Polisi ni ya kujitolea na bado kazi hiyo inakabiliwa na changamoto nyingi,

IGP Sirro amesema bado jeshi hilo linakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo ucheleweshaji wa upelelezi, rushwa pamoja na uwepo wa viashiria vya kihalifu.

Baada ya kula kiapo Kamishina huyo wa Zanzibar, Mohammed Hassan akapewa neno kutoka kwa Katibu wa Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma, John Kaole kwa kuambiwa anatakiwa kurejesha shukrani kwa kufanya kazi kiuadilifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa Umma.

“NAWATAKIA KAZI NJEMA, KAFANYENI KAZI” -RAIS MAGUFULI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

ILIVYOKUWA KATIKA KESI YA MAUAJI YA MWANAHARAKATI WA TEMBO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments