PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Michezo

Anthony Joshua tena kavunja rekodi ya mtu

on

Hatimae pambano la Boxing kafi ya bondia muingereza Anthony Joshua dhidi ya Bondia wa kirusi Alexander Povektin limemalizika baada ya kusubiriwa kwa hamu kwa muda mrefu.

Anthony Joshua ambaye anarekodi ya kutopigwa amefanikiwa kuvunja rekodi ya bondia Povektin kwa kumpiga kwa Technical Knock Out round ya saba ya pambano hilo.

Kabla ya bondia Alexander Povektin kupoteza pambano leo dhidi ya Anthony Joshua kwa TKO, ndio linakuwa pambano lake la pili kupoteza katika mapambano 36 aliyocheza akishinda 34, KO 24 huku Joshua akiendelea na rekodi ya kutopigwa.

Soma na hizi

Tupia Comments