PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

Mama yake Diamond uzinduzi wa Movie ya Wema “Nimempa Wema zawadi, Diamond hajanituma”

on

Mama Diamond Platnumz ni miongoni mwa watu waliohudhuria uzinduzi wa Movie ya Wema Sepetu ambao uliambatana na sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, ambapo Mama Diamond alipowasili tu kwenye red carpet  alikutana na waandishi wa habari na hivi ndivyo alivyo jibu maswali ya waandishi.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama MAMA DIAMOND akijibu maswali ya waandishi.

UMEIONA HII YA MAMA WEMA ALIVYOJIBU WAANDISHI KWENYE UZINDUZI WA MOVIE YA MWANAE..? PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

SHAMSA FORD KAZUNGUMZA KUHUSU DUKA JIPYA LA WEMA SEPETU

Soma na hizi

Tupia Comments