Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA12: Diamond Platnumz alivyoizindua perfume yake ya CHIBU PERFUME

on

Leo April 21 2017 msanii wa BongoFleva, Diamond Platnum ameizindua rasmi perfume yake ya Chibu Perfume kwenye Mall ya GSM Pugu Road Dar es salaam. Diamond amesema Perfume hiyo asili yake ni Dubai kwa sababu inaaminika kuwa Dubai ndio sehemu kunakotoka maNukato mazuri. Kwa Upande wake Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam amesema perfume hiyo itauzwa kwa Tsh 105,000 kwa bei rejareja.

Babu Tale na Diamond Platnumz

Diamond Platnumz na meneja wake Sallam

VIDEO: Diamond Platnumz alivyolizindua rasmi duka jipya la GSM, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement