Tangaza Hapa Ad

Hatimae, ile video ya Diamond na Davido imetoka… iko hapa


diamondNi zaidi ya wiki 6 toka zimeanza kuenea stori za Diamond kufanya kolabo na staa wa Nigeria Davido ambapo hatimae ile kiu ya longtime inakatwa leo baada ya Video ya kolabo yenyewe kuachiwa.

Bonyeza play hapa chini kisha utoe yako ya moyoni ukishaitazama hii ‘number 1’ rmx Diamond ft Davido mtu wangu..

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement