Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Staili aliyotumia Diamond Platnumz kumwambia Idris Sultan Happy birthday

on

January 28 2017 ni siku ambayo mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 24 ambapo Mastaa mbalimbali wametumia Instagram kumtakia heri ya siku yake.

Kama ni mfatiliaji mzuri  imekuwa ni kawaida ya Idris Sultan kuwatakia happy birthday baadhi ya mastaa kwa kutumia picha za wapenzi wao ambapo sasa Diamond Platnumz amefanya kama ambavyo Idris hufanya.

Idris na Linah wamekua wakihusishwa sana kwenye headlines za  kuwa Wapenzi ambapo sasa kwenye hii birthday ya Idris, Diamond alipost picha nzuuuuuri ya mwimbaji wa bongofleva Linah na kuandika Happy Birthday Idris

VIDEO: Idris na Linah walivyojiachia kwenye Birthday party ya Ben Pol, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Baada ya Linnah kumpost Idris na Mashabiki ku-comment vibaya wakimuhusisha na WEMA SEPETU, haya ndio maneno ya LINAH kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement