Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Diva ataja sababu ya kusherehekea Birthday 2 ndani ya mwaka mmoja.

on

Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm Diva the Bawse leo ameamua kutolea ufafanuzi kuhusu birthday yake ambayo wengi wameshangazwa baada ya yeye kusherehekea birthday yake mwezi wa kwanza badala ya mwezi wa tano kama ilivyokuwa miaka iliyopita.

Diva akiwa kwenye kipindi cha XXL amesema sababu za kushererehekea birthday yake January 15 badala ya Mei 25 ni kwa sababu anaadhimisha mwaka mmoja tangu abadilishe jina lake kutoka Loveness Love na kuwa Diva The Bawse.

Tupia Comments

Advertisement