Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Diamond Platnumz ametaja gharama alizonunulia Nyumba South Afrika

on

September 23 2016 Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines baada ya kupost Nyumba ambayo aliandika kuwa ni zawadi kuwa Mpenzi wake ambaye ni Mrembo Zari, Baada ya Diamond Platnumz kupost Nyumba hiyo ambayo iko South Africa zimepita  siku saba na amehojiwa na kipindi cha Weekend Chat Show na kazitaja Gharama alizonunulia Nyumba hiyo.

ULIMISS KUITAZAMA HII YA DIAMOND PLATNUMZ KUTAJA BEI IKITOKEA ATAUZA INSTAGRAM ACCOUNT YAKE? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement