Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

Baada ya kuhukumiwa miaka miwili jela, Diamond Platnumz amuandikia Lulu yafuatayo


Miongoni mwa Habari kubwa leo Tanzania ni Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” kuhukumiwa kwenda jela miaka miwili kwenye kesi iliyokua ikimkabili ya kusababisha kifo cha Mwigizaji Kanumba bila kukusudia.

Baadhi ya Watu maarufu wa Tanzania wamezipokea taarifa hiyo kwa masikitiko na kumuandikia Lulu, hii ni ya Mwimbaji Diamond Platnumz >>> “Mwenyez Mungu ameamua kukupa mtihani huu wewe sababu anaamini wewe ni Shujaa na Imara…..pia anaamini wewe ndio msichana pekee unaeweza kuuhimili mtihani huu…. hivyo usisononeke, Make him Proud!!!🙏

VIDEO: MAMA KANUMBA AANGUA KILIO BAADA YA LULU KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA, AONGEA YAFUATAYO… BONYEZA PLAY HAPA CHINI

VIDEO: LULU LEO MAHAKAMANI KABLA YA KUHUMIWA MIAKA MIWILI JELA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement