Tangaza Hapa Ad

fB insta twitter

Diamond Platnumz kampost Wema Sepetu kwa mara nyingine Instagram

on

Kama unakumbuka  July 5, 2016 mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kupost kwenye Instagram kuhusu watu kujitokeza kwa wingi kwenye show ambayo imeandaliwa na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu pamoja na Christian Bella na Idris.

Leo September 22 2016, Diamond Platnumz amekuwa akipost videos za mashabiki wake wakiimba hit yake mpya ya ‘Salome’,  amezikamata tena headlines kwa kupost video ya Wema Sepetu akiimbia wimbo huo na kuandika caption hii 

>>”Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini….??? Tisha sana#SALOME wake @idrissultan full Video link in my BIO and @rayvanny BIO☝…..Shukran sana @vodacomtanzaniakwa intanet yenye kasi Zaidi inayoniwezesha kuwapa habari Mashabiki zangu Mara kwa Mara…#VodacomKaziNiKwako#VodacomHapaKasitu”

gg

ULIKOSA KUISIKILIZA MANENO YA SAIDA KAROLI KUHUSU WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ SALOME? UNAWEZA KUISIKILIZA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement