Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Diamond Platnumz ashinda tuzo nyingine Nigeria…

on

Mtanzania Diamond Platnumz ametangazwa kushinda tuzo ya Msanii bora wa Afrika wa mwaka 2016,tuzo hizi pia zimeenda kwa Mastaa wengine kama Wizkid ambaye ameshinda tuzo ya Msanii bora wa mwaka,Kiss Daniel,Ycee na wengine wengi,nimeipata list ya baadhi ya washindi kwenye tuzo hizo zilizotolewa na Africa Music Entertainment ya Nigeria.

Cheki Perfomance ya Diamond Platnumz ilivyokuwa Iringa kwenye Vodacom Wasafi Festival.

Tupia Comments

Advertisement