Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Video fupi iliyovuja ya Diamond akifanya video na Neyo Marekani

on

Diamond Platnumz yuko Marekani kwa ajili ya show yake September 2 Los Angeles lakini pia kufanya video ya kolabo na mwimbaji star wa Marekani Neyo ambayo waliirekodi audio yake Nairobi mwaka 2015.

Kipisi cha behind the scene kilichovuja wakati Diamond na Neyo wakiifanya hiyo video unaweza kukitazama kwenye hii video hapa chini….

DIAMOND KAITWA TENA MAREKANI KWA MARA YA TANO MWAKA HUU, HATOSAHAU HII YA MINNEAPOLIS.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement