Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Kinara wa bendi nchini Tanzania kuingia studio na Davido……

on

Ni headlines za mwimbaji wa bendi kutoka Akudo Impact,  Taasisi Masela ambae kwasasa yupo katika maandalizi ya kutoa single zake ikiwemo matarajio ya kuwepo kwa collabo yake na msanii wa Nigeria Davido.

Mwimbaji huyo akiipata heshima millardayo.com & Ayo TV na kuyaongea haya..>>Kuhusu collabo yangu na Davido ndiyo ipo tulikutana congo wakati nilipoenda kusheherekea miaka 30 yangu na bahati nzuri Davido nilishawahi kusafiri  nae kwenye ndege moja basi tukabadilisha mawasiliano yeye alikuwa akielekea London mimi naelekea Dubai

Kwahiyo basi mazungumzo yetu yalikuwa na marefu sana nikazungumza nae kuhusu collabo yangu na yeye akanimbia kwa kipindi hiki yuko busy sana tukapanga kuanzia mwakani itabidi niende Nigeria kukamilisha collabo hiyo’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Mwimbaji huyo akizungumzia collabo hiyo

ULIKOSA SHANGWE ZA DARASA NA QUICK ROCKA KWENYE STAGE YA FIESTA MBEYA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement