Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mazishi ya Dogo Mfaume, Chanika DSM

on

May 17, 2017 Bongofleva ilipata pigo baada ya kutangazwa kifo cha aliyekuwa Mfalme wa Mchiriku Dogo Mfaume ambaye alitamba na wimbo wake wa ‘Kazi ya Dukani’ akiwa Hospitali ya Muhimbili…leo May 19, 2017 amezikwa nyumbani kwao Chanika, Dar es Salaam.

Ayo TV na millardayo.com zilikuwepo kwenye shughuli yote ya mazishi ya Dogo Mfaume na hapa zimekusogezea tukio zima katika video hii…bonyeza PLAY kutazama!!!

ULIKOSA ALICHOKIELEZA MAN WATER KUHUSU ALIVYOKUTANA NA DOGO MFAUME? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI!!!!

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement