Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Alikiba alivyoimba LIVE na band yake Dodoma usiku wa kuamkia leo

on

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba usiku wa February 4 2017 alikuwa makao makuu ya nchi Dodoma kwa ajili ya kutoa burudani kwa Watu wake huku akisindikizwa na mdogo wake AbduKiba pamoja na band yake ya live…. hii video hapa chini ina tukio zima

ULIPITWA? Tazama show ya Alikiba alivyotumbuiza na baadae kuwaita kwenye stage Jokate na Wema Sepetu, play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement