Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Mnigeria Donjazzy ajirekodi video akiimba na kucheza ‘Chura’ ya Snura


Ni miongoni mwa Watayarishaji maarufu wa muziki Afrika na ni┬ámmiliki wa wa Record label ya Mavin huko Nigeria na amefanya kazi na watu kama Tiwa Savage, D’Banj na wengine.

Leo Donjazzy anaivunjavunja Internet upande wa Tanzania baada ya kujirekodi video fupi akicheza na kuimba wimbo wa ‘chura‘ wa msanii wa bongofleva Tanzania Snura ambapo baada ya kujirekodi, Jazzy aliipost na kuwauliza Watanzania amepatia?


VIDEO: Ulipitwa kuona Snura, Shilole & Juma Nature walivyo-perform kwenye Tamasha la FIESTA 2016? bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement