Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 8: Waziri mkuu Majaliwa na familia yake walivyopokelewa Dodoma leo

on

Tunajua kwamba Rais John Pombe Magufuli alitangaza kwamba hivi sasa ni lazima serikali yake yote ihamie makao makuu ya nchi ambayo ni Dodoma, tukamsikia pia Waziri mkuu Kassim Majaliwa akitangaza bungeni ratiba rasmi ya serikali ikiwemo baadhi ya wizara kuanza kuhamia ambapo leo September 30 2016 Waziri mkuu Majaliwa alipanda ndege kuelekea Dodoma kwa ajili ya kuanza makazi mapya.

Hapa ninazo picha nane za kutokea uwanja wa ndege Dodoma akiwa na familia yake kisha kupokelewa na wananchi mbalimbali ikiwa ni ishara ya upendo..

img_2141

Ndege iliyombeba Waziri mkuu ikitua uwanjani

img_2145

img_2152

Waziri mkuu Majaliwa akisalimiana na Waziri Jenista Mhagama

img_2154

img_2160

img_2172

img_2173

img_2179

Picha zote na James Msofe

ULIMIS WAZIRI MKUU MAJALIWA ALIVYOHAMIA NA FAMILIA YAKE DODOMA LEO

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement