Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Idris Sultan alivyowatangaza washindi wa tuzo za MTV MAMA 2016

on

Ni October 22, 2016 ambapo utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 ulifanya katika ukumbi wa Ticket Pro Dome huku miongoni mwa watanzania walioshiriki kutoa tuzo hizo alikuwa mshindi wa Big Brother 2014, Idris Sultan aliwatangaza Sauti Sol kuwa washindi wa tuzo ya Best Group iliyokuwa ikiwaniwa na Navy Kenzo.

ULIIKOSA HII YA JAY MOE KUHUSU WIMBO WAKE WA PESA MADAFU BASI ITAZAMEE HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement