Premier Bet

Top Stories

DR. SHIKA AWAJIBU WANAOSEMA ATAPOTEZWA NA BABU SEYA

on

December 9 2017 Kwenye usiku wa 900 Itapendeza DAR LIVE Mbagala Dar es salaam ambako Mgeni Rasmi alikuwa Dr. Shika alihojiwa na AyoTV kabla ya kwenda kwenye meza kuu na kuzungumzia kuachiwa kwa Babu Seya na Papi Kocha ambazo ndio habari kubwa za December 9.

 

Soma na hizi

Tupia Comments