Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Washindi wa tuzo za Dubai Global Soccer 2017, Ronaldo ndani

on

Usiku wa December 28 2017 tuzo za Dubai Global Soccer 2017 zilifanyika Dubai na kushuhudia mastaa mbalimbali wakiibuka kidedea kwa kutwaa tuzo hizo kwa mwaka 2017, staa wa soka wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka.

Wengine walioshinda tuzo hizo ni kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane ambaye ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017 wakati staa wa zamani wa AS Roma Francesco Totti akishinda tuzo ya heshima.

List ya washindi walioshinda tuzo za Dubai Global Soccer Awards 2017

  • Jorge Mendes wakala bora 2017
  • Carlos Puyol tuzo ya heshima 2017
  • Felix Brych refa bora wa mwaka 2017
  • Real Madrid wameshinda tuzo ya club bora ya mwaka 2017
  • Kocha wa Misri Hector Cuper ameshinda tuzo ya kocha bora wa timu ya taifa.

“Nimeumia kuliko siku zote toka nimeanza kazi Simba”-Haji Manara

Soma na hizi

Tupia Comments