Tangaza Hapa Ad

Mix

Karibu Buguruni Dsm, sasa hivi wa miguu tunavuka kwa juu tu (+VIDEO)

on

Karibu Dar es salaam ya Makonda, jiji lenye foleni na magari mengi zaidi kuliko mji mwingine wowote Tanzania na hiyo inasababisha foleni kila siku lakini foleni haisababishwi na magari peke yake bali hata sehemu wanazovuka watu kwa miguu.

Buguruni ni moja ya maeneo ambayo wavuka kwa miguu walikua wanachangia sana foleni au magari kwenda taratibu kila yanapofika kwenye eneo hilo lakini leo hii hali imebadilika, unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Tazama Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam akieleza kwanini anajiweka karibu zaidi  na Matajiri, bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement