Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO: Paul Makonda makao makuu Polisi leo, kaongea kinachoendelea

on

Jana Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda alitaja orodha ya baadhi ya wanaotuhumiwa kutumia na kuuza dawa za kulevya, leo akiwa na Mkuu wa Polisi Kanda maalum Dar es salaam Simon Sirro ameyaongea haya hapa chini


ULIPITWA? Tazama hapa chini Paul Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya na utumiaji.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement