Top Stories

Mbunge Kubenea kuhusu wanaume wenye wake wengi

on

June 11, 2018 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea alihoji Serikali haioni haja ya kuwasaidia wanawake wliiolewa zaidi ya mmoja kuungwanishwa katika mfumo wa bima ya afya ya taifa (NHIF) tofauti na sasa inayotambua mke mmoja. Majibu yakatolewa na Naibu Waziri ofisi ya Rais (TAMISEMI) Joseph Kakunda.

Jina alilopewa Dr. Tulia na Wasukuma na fedha alizogawa

Soma na hizi

Tupia Comments