Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Simba wamshambulia jangili na kumuua….ilikuwaje?

on

Leo February 12, 2018 moja ya habari kubwa ni kuhusu mtu mmoja anayedhaniwa kuwa jangili katika hifadhi ya simba karibu na Mbuga ya Wanyama ya Kruger amevamiwa na kuliwa na kikundi cha simba akiwa katika shughuli zake hizo za uwindaji nchini Afrika Kusini.

Polisi katika eneo hilo wameeleza kuwa mtu huyo ameraruriwa vibaya na vipande vichache tu vya mwili wake ndio vimepatikana ikiwa ni pamoja na mabaki ya kichwa.

Wameeleza kuwa mpaka sasa haijajulikana mtu huyo ni nani lakini uchunguzi unaendelea. Hatahivyo wamegusia kuwa kumekuwa na ujangili kwenye hifadhi hiyo, ambapo mwaka jana simba walipewa sumu na kufa huku vichwa na kwato zao zikachukuliwa.

Makamu wa Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi mradi wa kuimarisha usimamizi wa Maliasili

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL na Mkurugenzi wamezungumzia mafanikio baada ya mabadiliko

 

Soma na hizi

Tupia Comments