Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Davido katuletea nyingine mpya inaitwa ‘If’

on

Davido, Mwimbaji staa kutokea Nigeria ambaye ameshawahi kuja kutumbuiza kwenye FIESTA Tanzania, tayari mpaka sasa anazo hits kadhaa zilizofika mpaka kwenye Top10 za Radio na TV Tanzania, itazame hii mpya na usisite kuacha comment yako atatafsiriwa Watanzania wameipokeaje

VIDEO: ULIPITWA? Diamond Platnumz kazungumzia ukweli kuhusu beef yake na Davido, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement