Videos

VideoMPYA: Davido katuletea hii ‘coolest kid in Africa’ ft. Nasty C

on

Davido ni miongoni mwa waimbaji wa kizazi cha sasa Afrika ambao hupata attention kubwa kila watu wanaposikia kuna wimbo mpya, hapa katuletea video yake mpya aliyomshirikisha Nasty CCoolest kid in Africa‘ ndio hii hapa chini na ukishaitazama sio mbaya ukiacha comment yako ulivyoipokea.

VIDEO: MTV Mama 2015 Davido alivyoongelea beef yake na Diamond

VIDEO: MTV Mama 2015 Davido alivyotangaza kutaka kolabo na Alikiba

Soma na hizi

Tupia Comments